|
Welcome,
Guest
|
|
|
Habari za Leo Ndugu zangu
Leo nimekuja na Tatizo moja au mawili kwamba nilikuwa nataka niweke system ya malipo katika website yangu kwa mifumo miwili (1: Mfumo wa Membership 2: mfumo wa Donate) NIMEJARIBU Lakini nime fail kwani sijajua nilipokosea, Sasa nimekuja kwenu kujua mnanisaidiaje Maana nahitaji sana Huu Mfumo: HAPA CHINI NAELEZA NI JINSI GANI NILIVYO FANYA ILI NIWEZE KUPATA SYSTEM ILA NIME FAIL 1: Nimejisajili Kwa Account ya Business na nimetumiwa Secret & Key kwenye Email yangu 2: baada ya hapo niliingia kwenye website yangu ambayo inatumia wordpress na Nilitafuta plugin inaitwa Pasapal Pay Niliinstall na Ku-active 3: Baada ya Hapo nikafanya Setting nikajaza customer key na Secret 4: nikaingia kwenye dashboard ya Pesapal nilitafuta Neno APN ila nikakosa ila niliona neno IPN basi nikaamua nifanye setting Hapo hapo kwenye IPN 5: Basi nilivyo maliza nikarudi kwenye website yangu na kuendelea na Setting 6: nikafika Hatua ya Mwisho ya Setting na nika copy Donate form Shortcodes 7: baada ya ku-copy hizo shortcode nikaziweka kwenye Page ambayo nahitaji, baada ya kukamiliza nikaitaza hiyo page na Ikaonekana (Nilifanya Majaribio, Niliijaza Fomu na Kubonyeza "Donate Using Pesapal") 8: Matokeo yalikuja Mabaya baada ya kutoona kinacho endelea ikawa ndio basi yaani ili load kisha ikawa empty 9: Lakini haikuishia Hapo nilioingia kwenye website yangu tena nilikuta Notificatio ya Payment lakini ikiwa "Pending" hadi sasa sijajua ni kwanini imekuwa hivyo maana ilitakiwa nilipo maliza kujaza fomu ningeombwa kufanya malipo HADI HAPO NIKAJUA NIMEKOSEA ILA SIJUI NIMEKOSEA WAPI Jana nilipiga simu na kuwaeleza shida yangu ila wakaniambia kwa tatizo langu inatakiwa niwatumie Email, sasa leo nimefanya Hivyo Nimekuja leo Nahitaji Msaaada wa nini Nifanye ili System hii Ifanye Kazi Asante sana 0743497079 - Mwanza Tanzania |
|
|
|